Serikali imetenga eneo la hekari 400,000 lililoko katikati ya maeneo ya Wilaya za Handeni, Kilindi, Kiteto na Simanjiro na hekari 220,000-Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_
@bbcswahili Wakati wanawashambulia wanajeshi wa Urusi mliwaona mashujaa wakifa mnalalamika mtu akiingia uwanja wa vita maana yake amejitoa kufa akipona ni bahati mbaya
Mwambieni mama akitaka kumfutia mashtaka MBOWE awafutie watuhumiwa wote tuanze upya
Yaani mahabusu zote zikae wazi tuanze upya kabisa tukisubiri wakosee tena
Sikusikia hizi kauli kwa Sabaya. Nadhani hii kauli pia ni mkakati na una lengo maalum. Kama kakosa AADHIBIWE na haina akirudia, kama hajakosea AACHIWE HURU. Mnaplot kitu gani nyie wajuzi wa Mambo. Haki Itawale na sio propaganda...
My RoleModel Mzalendo halisi wa Taifa,mtu mkweli asiyekuwa na chembe ya Unafiki,Mwanamapinduzi, Kiboko cha Mabeberu na Mawakala wao Barani Africa,Mcha Mungu, Muadilifu,Kiboko cha Wala Rushwa,Mfuasi Halisi wa Mwal. Julius K. Nyerere, Muumini wa Ujamaa na kujitegemea R.I.P Comred
@veronicafrance0 @CuthbertFredric @MwanaMorogoro@homo_hater@bongofinyu@cum_pray@UsalamaWaTaifa@KingG21417116 Ktk hii kuna vikundi viwili kimoja kina mkubali sana huyu mtu na hakitaki kabisa akosolewe hata km kuna mahali alikosea km binadamu na kikundi kingine kina chuki kubwa sana hakitaki atajwe vizuri hata kidogo hata km kuna jambo alifanya sawa ..
#UZI_KUHUSU#ROSTAM_VENTILATOR_CHALLENGE
👇
Leo tarehe 20/05/2021 #ROSTAM (Roma & Stamina) tumefanikisha zoezi la kukabidhi mashine ya kupumulia (Oxygen concentrator) na mashuka pieces 33 katika hospitali kuu ya rufaa ya mkoa wa morogoro.