@MijuLee_Tz ๐๐๐๐ daaaah kwer mapenz KONYOO๐๐๐
Nandiomana nakupendaga My wangu haujawai nitupa kwenye vitilio vidogo vidogo kama iv love sana
@ATizulwa @FumboKhan2019 ๐๐๐nilijua zambalau mala ya kwanza mpaka nilivyo tazama kwa umakini nikajua n mendezii๐๐๐๐๐๐๐๐
@SafariMlevi Anashika nafasi ya 20 ila nao Forbes waongo sana mbona ela yake haiongezeki tu ipo pale pale kuanzia mwaka 2018 Dolla ๐ท million 5๐ค๐ค๐ค
@SuluhuSamia Mama ivi unajua kunabaazi ya mitandao inatuzarau wateja wake sijui ni mimi tu ambae hawataki kupokea simu zangu au ni watu wote @Haloteltz ninashida nao nawapigia simu hawataki kupokea mama tunaomba wizara yako ya mawasiliano @TCRA ishughulikie sijapata uduma zangu nyingi sana
@SafariMlevi Kwakeri bado sana ila uyu anafanya kutu Enjoy tu then akishayaona Meno yetu yametoka nje kwa katabasamu kamawazo basi anakuja Fanya mambo aliofanya MWENDAZAKE
Inchi inaendeshwa kiboya sana hii
Ivi BiSWALO anakuaje jaji wa mahakama kuu wakati roho yake tu yemwenyewe tayari imejiukumu kifo daaah mama @SuluhuSamia tunaomba ili suala ue seriously hatukupangii ila tunakushauli tu
Tunaamini utabadilisha๐๐๐