R.I.P Mzee! Ulikuwa na roho ngumu, ulieamini katika wewe tu, Hukutana yeyote akupinge au ajiinue zaidi yako ila ulikuwa a true Leader!!
Katiba mbovu ilichangia wewe kuwa hivyo.
Japo hukuwa Mwanasiasa mzuri ila ulikuwa Kiongozi!! Tanzania inakumiss sana no matter what!!
R.I.P 🕊️
Kabisaa yaani!! Nchi inayotegemea kilimo kama UTI wa mgongo wake alafu haina hata Kituo Cha Television kinachoelezea Kilimo Bora kwa vitendo !!
Inahizunisha
Kwanini ni Congo TU kila siku!?
Kwanini Magonjwa ya mlipuko haya ishi!?
Magonjwa yaliletwa na nani!?
Ukiangalia Congo ndio nchi yenye rasilimali nyingi kuliko nchi zote Afrika.
Pia ndio nchi maskini.
Kwanini rasilimali nyingi lakin ni nchi maskini.
Aliyeifanya Congo itaabike
"Hivi Ndivyo Jamaa Alivyotumia Buku (1000) Yake Kutushawishi Mpaka Tukanunua Mashine ya Mil 7.5 (TZS)."
Siku moja nilimsindikiza Broo mmoja K/koo kununua mashine ya ofisini kwao.
Kuna duka moja tulifikia walikuwa wanauza mashine OG lakini bei yake ilisimamia ukucha.
UZI-👇
@msuya_asia24679@halimamdee@MariaSTsehai@HildaNewton21 Yaani watu wanapambana Posho yako iwe hata 500,000 ambapo endapo litafanikiwa Utaipata wewe na kuweza kuwatumia Wazazi wako hata 150,000 kila Mwezi unasema anapotosha
Vijana kama nyie ni Mzigo kwa Taifa letu.
Mtaendelea kuwatetea Hao Viongozi & Familia zao mpaka lini? SHAME 🚮😏