@fatma_karume Kufata ushauri wa wataalamu wa Afya ni Mzuri, lakin wao awo ni binadamu tu..... Msaada pekee unatoka kwa Mungu atuponye.... wasijichukulie wao ndo wataaalamu wakat wao kwao wameushindwa
@JamiiForums Hawajatujua vizuri waafrica, tunavadrika dakika 0 tu.... mwanzo kabla kuijua Corona, raia walikosa raha.... lakn baada ya kuijua ikoje shangwe kibao ad wanaiimbia