Jengo letu la Stesheni la SGR maarufu kama Tanzanite Tower. Hapa ndipo abiria watapatumia kutembea toka ghorofa ya 2 ya jengo kuingia kwenye treni ya umeme.
Ours is to reduce poaching through involving ex poachers to be tour guide,,here is article from the guardian magazine wrote about us "CULTURAL TOURISM REDUCING POACHING INCIDENT IN MIKUMI NATIONAL PARK" @TzTouristBoard@AmEmbTZ@AWTnews@WWF@ProPoorTourism
@HecheJohn Kwahiyo, mtu akiwa daktari wa hospitali ya serikali ni sharti yeye na familia yake watibiwa hospitali za serikali tu?
Baba akiwa kiongozi wa ATCL, ni marufuku mwanae kupanda Precision Air?
@MussaMhwela@Eddo142 We ndo huna akili mwanetu, huyo Alikuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani ndio mwenye dhamana ya mitihani na matokeo ya mtihani.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Januari 17, 2025.
Kikao hiki kinalenga kujadili masuala muhimu ya Chama na kutoa mwelekeo mpya wa utekelezaji wa sera kwa maendeleo ya wananchi.
Chini ya uongozi madhubuti wa Dkt. Samia, viongozi wa CCM wanaendelea kuweka mikakati thabiti kwa mustakabali bora wa Taifa.
@SuluhuSamia@ccm_tanzania
#DiraYaSamia
@HabariTech@gabyconscious Na nina uelewa na ufutailiaji mzuri sana tu wa simu! Labda nikuulize A series basic inayokupa RAM 6 GB storage haijalishi, kwako ina shida gani? Inazidiwa nini na S yenye RAM kama hiyo? Ikiwa operating system ni moja. Nini kinakosekana au huwezi kutumia kwenye A series?