@k_mjege@jwise017 1. Genetic
2. Sedentary life
Mikoa ya Kaskazini, cases za non-communicable diseases ni nyingi sana haswa HTN na DM matokeo yake ni CKD.
@Kil0voltI@prettyfancy_01 Sio mchezo, hapo ni sehemu tu ya gharama mubwa ya maisha, haujaweka mafuta ya gari, mtoko wa weekend, haujahonga na haujanunua hata shati ๐
@DadaConso Kisukari, presha nq low libido chanzo sio miaka 30.
Ukiwa na sukari na presha katika umri huo hata Dx na vipimo zinatafutwa kwa njia nyengine maana yake sio umri wa hayo magonjwa labda kama ni Secomdary HTN na DM1
Ndoto yako haikuwa kutumikishwa kazini miaka 40 kisha upewe cheti na vikombe siku ya kukuaga
Ndoto ni uhuru, muda, afya, amani. Lkn hakuna atakayekupa hivyo. Unapaswa kuvitafuta mwenyewe
Kila ukiamka salama jiulize; nianzishe kitu gani sasa kwa ajili ya maisha yangu ya baadaye?