@SuluhuSamia Ziara ya mwaka 1969 alipokewa na wanafunzi wa enzi hizo wa kiTanzania wakiwa hoi kidogo, na ndipo aka agitated waanze kulipwa top up allowance (TUA). Baada ya hapo hakutokea kiongozi mkubwa kwenda kuwaona wanafunzi hadi alipokwenda Dr. Bilali kwa kuagizwa na Mzee Mwinyi
@mhdhamad@JamiiForums Ukiwa msaa wa Marekani haimaanishi viwango ni vya kwao. Nchi yetu inaviwango vyake ingawa baadhi vimekopiwa huko nje.
WB hawezi kukulazimisha utumie AASHTO na wao kama taasisi ya fedha hawana viwango hivyo.
Bango lako la picha lina majibu lisome kwa utulivu. Ukigoogle jiongeze.
Watanzania wenzangu mlio kwenye jukwaa la X,
Hatuna sababu ya kutukanana kwa sababu tu nimetofautiana nanyi kimtazamo. Kutoa maoni si kosa, na kutokubaliana si uadui.
Kwa nini tusijibu hoja kwa hoja badala ya kushambulia mtu?
Nguvu ya mjadala haipo kwenye kejeli, bali kwenye mantiki.
Hekima ya mtu haionekani kwa sauti kubwa, bali kwa hoja nzito.
Tukijifunza kuheshimiana hata tunapotofautiana, tutainua kiwango cha mijadala yetu na hadhi ya taifa letu pia.
Tujibu hoja kwa hoja.
Tusishambulie watu, bali tujadili mawazo.
Si sawa, wala si haki, kunipima kwa mizani ya uteuzi.
Nikikaa kimya mnasema nasubiri kuteuliwa.
Nikiongea mnasema natafuta kuteuliwa.
Kwa nini kila kauli iwe na tafsiri ya tamaa ya cheo?
Cheo hakijawahi kuongeza thamani yangu.
Na kutokuwa na cheo hakujawahi kupunguza thamani yangu.
Thamani yangu haitokani na uteuzi.
Haitokani na mamlaka.
Haitokani na nafasi.
My identity haitokani na kuwa au kutokuwa na cheo.
Mimi si cheo ninachoshika.
Mimi si nafasi ninayokalia.
Mimi ni misimamo ninayoamini.
Mimi ni ukweli ninaousimamia — hata kama hauna ofisi.
Cheo ni jukumu.
Thamani ni asili.
Na asili yangu haitegemei uteuzi wa mtu yeyote.
@ayubu_madenge Hawaelewi maana ya "mecenaries" zipo kampuni duniani zinasajili hawa vijana sio serikali husika. Serikali inazilipa hizo kampuni kwa kuleta wapiganaji. Ipo pande zote mashariki na magharibi.