@samatimemagari@Sativa255 Izo codi kwa ustaw na ukuaji wa nchi changa n mzr sn inalinda vwnd vy ndan kwa kukontroll inmport me mwenyew inaniuma sana tunapigwa lkn nikiangalia upande wa pili naona sawa ndugu zangu wa uchumi wanaelewaa watalala mika lkn ukweli wanaujua
@tonymaster01 Mamae utatoa kah milioni 10 afu unasemaa umetoa hele atasikutambulishii mbele za wauminii ๐๐๐๐ kama umetoa hela aya maisha ๐๐๐
@BenyTheTraveler Inachanyanya hii essu unakuta duka lenyew wateja wapo kawsida sio wengii 1m anaipataje per month ebwana akikuelekezaa nishitue mana hii nchii ina siri nyingi
@charlesMlonga @Malima88Jr@BongeLaAfya Me iyo shida ilinipiga ndanii ya siku 6 hospital niliambiwaa figo lkn ikajaa ikaponaa yenyew n kwel fiko inawezaa kulicover gafla passipo kutumia dawa yyt mana nilisha jikatia tamaa ya kuishii gafla nimeponaa