@s_slope123@Paulmeda1 Yule Rugangila mhaya ana uhakika na anacho kifanya...siku akipigwa chin atarud tena kwenye majukum yake huko aliko toka...sio mjinga yule
@__abdulazack Watetez wa mamba wamesha ufyata tayar.......shenz kabisa....mamba hawa hawa ambao wanaua watoto,mama zetu ndo mnatokwa mapovu hivo.? Ikiwezekana hao wazungu wapewe maziwa yote wafanye kaz ya kuwaua tu ad waishe wote
@WackoFredo@ayubu_madenge Ukatil gan wamefanya? Hao mamba wanapokuwa wanakamata ndugu zetu na kuwaua mbona hamjawai kuwaambia mamba kwamba huo ni ukatil?
@ayubu_madenge Hiv huyo mamba amelisaidia nin hili taifa zaid ya kuuq ndugu zetu.? Punguzen usenge wakat meingine...tafuta content nyingine zenye kujenga na kusaidia jamiii sio kurukia rukiaa tu kila jambo
@Nunda24197358@ayubu_madenge Kwanza hata kama isinge kuwa uwindaji wa utalii..kwan hayo ma mamba yana kaz gan kama sio kuua ndugu zetu? Mbona ndugu zetu wakiuawa na mamba hatuon hao wanao toa mapovu wakitoa? Tena hao watalii wapewe na ulinz kabisa waendelee na kuua wengine had waishe
@IamMambosasa@millardayo Ndo maana nawashangaa watanzania...kila kitu kwao ni siasa na mihemko ..mamba wanaua watu kila siku..hapo hakuna haki za binadam. .ila limeuawa lenyewe et haki za wanyamaaa