@MwengaAdrath @mhdhamad@tzparks@TzTouristBoard@EverydayMbeya@tzsafarichannel@VisitTanzania1@Visitmbeya Ruaha ilikuwa na takribani km za mraba 13,000 kati ya hizo 30% zilikuwa ndani ya Mbeya. Baada ya pori la akiba la Usangu na eneo oevu la Ihefu kuongezwa hifadhi ikafika km za mraba 20,226. Kati ya hizo ni 9100 tu zipo Iringa. So more than 55% ya Ruaha national park iko Mbeya.
@KennedyMmari Chief hii ramani uliyotumia siyo ya Tanzania. Ramani sahihi ya JMT mpaka wa ziwa Nyasa kati yetu na Malawi unapita katikati ya ziwa. Tuache kutumia ramani zinazomega nchi yetu, mambo yanaanza taratibu hivi kesho tunajikuta tumezoea na kuona sawa. #nchikwanza