@iAmLyimo We bwana acha kutupanga bhn๐๐๐๐
Waliofanya hapo wako well trained kutoka vyuoni na Semina walipata Sasa tutakua tunafanya training tu milele
@iAmLyimo Bora tu wangevuna kimya kimya harafu wangetudanganya kuwa mashamba yalivamiwa na tembo basi kuliko upuuzi huu eti wanatoa na takwimu kabisa, tumevuna gunia 600 kwenye ekari 620 ๐คฃ๐คฃ kwanza hata Admin wa page ya wizara nashauri akamatwe hawezi kutupostia vitu vya hovyo
@ILMI_Dunya There is no even a little chance to forget the doctor of plant #Agronomist , honestly this man is the pivotal we need him three times a day