Don't ever think that Kenya is not capable of dealing with terrorism. We've got elite units that are extremely ruthless. They don't play around. Those who attacked our engineers the other day in North Eastern shall be smoked out of their hiding places. Hakuna mchezo. Surrender before we catch up with you.
@mapendo_msaki@bajabiri Hao jamaa ni waongo bana...YAAAN WANATAKA KUTUAMINISHA KWAMBA MIEZI 3 NI LAKI 9 Tena ni operater wanalipwa hivyo ....kwa hio kama nyengine wanalipwa sh ngap kama huyo driver analipwa 300k
Afrika ni upumbavu wetu tusisingizie dini.....mbona hizo EAU Kuna maendeleo fresh tu na niwafuasi wa dining ya kiislam au hata Hao European wako fresh tu kimaendeleo.......DINI SIO SABABU
Mungu Hana DINI, Dini Ni UTUMWA
CHINA Wapo Bilion 1 Na Milion Mia Tano Lakini WAISLAM Wapo Kwa 2% Na WAKRISTO Wapo Kwa 1%. Wasio Na DINI Ni 30% Yaani Wasio Na Dini Yoyote Ni Wengi Kuliko Waislam Na Wakristo.
China Wanayo Maendeleo Makubwa Sana Pia Ni Wamestaarabika Sana. AFRIKA Nzima Tupo Bilion 1.5, Na USILAM Na UKRISTO Ndio Umetawala Huku Afrika. Huku Afrika MAKANISA Na MISIKITI Na Mengi Kuliko VIWANDA.
INDIA Nao Wapo Bilion 1.5 Na UISLAM Upo Kwa Asilimia Ndogo Sana Vivyo Hivyo Kwa UKRISTO. Zilizobakia Na Dini Za Asili Yao
Mungu Hana DINI, Lakini Tunabaguana Na Kutengana Sababu Ya Dini. Ukimuuliza MUISLAM Dini Ya Mungu Ni Ipi Anakwambia Ni UISLAM Vivyo Hivyo Kwa MKRISTO Na Madhehebu Mengine.
Kama AFRIKA Tungetawaliwa Na WACHINA Na WAHINDI Basi Tungekua Na Dini Zao Ambazo Ni BUDDHISIM Na HINDDUISM Kama Ilivyosasa kwa UISLAM Na UKRISTO
Kama Kuna Kitu Kikubwa CHINA Na INDIA Walikiwini Basi Nikutoruhusu Hizi Dini Mbili Maarufu UISLAM Na UKRISTO Vitawale Nchini Mwao.
Utasikia ISRAEL Ni Taifa Teule La Mungu Israel Hii Inayoa Mamia Ya Watu Wasio Na Hatia Kila Kukicha.
Mababu Zetu Waliishi Miaka Mingi Sana Yenye Neema Na Baraka Tele Pasipo Na Uwepo Wa UISLAM Wala UKRISTO. Waarabu Na Wazungu Walipotuvamia Na Kututawala Kisha Kutuuza Kama Mbuzi Na Wakatulazimisha Tuachane Na Taratibu Zetu Zakumuomba MUNGU Tuchukue Taratibu Zao WAARABU Na UKRISTO Na Wazungu Na UKRISTO.
Hivi Inaingia Akilini Kweli Watu Waliotuuza Kama Mbuzi Nakutupa Mateso Ya Kila Aina Kwamba Wanatupenda Sana Kiasi Chakutaka Kwenda Nasisi PEPONI?
Kazi Ya Dini Nikugawanya Nakuwatawala Watu Kirahisi Kwahiyo DINI Ni Utumwa Usioumiza Dini Ni Utumwa Wa FIKRA Ukihoji Hizi Dini Kwa Kina Unaambiwa UNAMKUFURU Mungu. Ili Usikufuru Mungu Unatakiwa Kubaki Hapo Hapo Kifungoni.
Dini Ya Kweli Ni MATENDO Yako Vile Unavyowatendea Binadamu Wenzako Na Viumbe Wengine Wote Hii Ndio Ibada Ya Kweli Hii Ndio PEPO Ya Kweli. Sio Kwenda MSIKITINI Wala KANISANI Wala Sio Kusoma QURAN Na BIBLIA.
China UISLAM Na UKRISTO Upo Kwa Asilimia Chache Sana 5% Lakini CHINA Wamestaarabika Kuliko Huku AFRIKA Ambapo Uislam Na Ukristo Upo Kwa Asilimia 💯 Dini Ni Biashara Kama Biashara Zingine Ukizubaa Unageuzwa Mtaji
Pale Nchini KENYA Kuna Muhubiri Anaitwa MACKENZIE Ameua Watu 191 Kwakuwaambia Wafunge Kutokula Chochote Wafe Waende Peponi.
Mwaka 2000 Pale Nchini Uganda JOSEPHI KIBWETERE Aliua Waumini 300. KIBWETERE Na Viongozi Wenzake Walitabiri Ukifika Mwaka 1999 Utakua Ndio Mwisho Wa Dunia. Nakuwataka Waumini Wauze Mali Zao Zote. Utabiri Huu Uliposhindwa Kutimia Waumini Walianza Kudai Mali Zao. Ndipo Viongozi Waakapanga Mauaji Hayo Waliwafungia Waumini Ndani Ya Nyumba Ya Ibada Kisha Wakaichoma Moto.
Kabla Hujazivamia Hizi Dini Za Kigeni Nakua Mfia Dini Fikiri Nje Ya Box Vinginevyo Utakua Mbuzi Wa Kafara.
By KIDUKU OFSA NGIRI
Kama waafrica mlijitqmbua na hizo dini zenu why hazikua writen somewhere?
Yaani hay maswali mnayojiuliza sometimes yanakuaga useless kwa sababu ya maandiko....
Everything should be on documentary ili vizaz na vizaz vipate muendelezo
Universe imekuwepo kwa mabilioni ya miaka kabla ya dini nyingi tunazozijua leo. Binadamu wa kale waliielewaje nguvu ya uumbaji kabla ya kuanzishwa kwa taasisi za dini? Je, dini ziligundua ukweli wa kiroho au zilitengeneza mifumo ya kuelezea mambo ambayo hawakuyaelewa?