Progress is a step in life to achieve true success. There is no shortcut for development. To achieve progress you most step by step as you build the foundation of the house everything is pursing true intent, love in action, despair. @Joseph10111650 @BillGates
Haswa tunahitaji watu wenye moyo Safi, kujua síasa vizuri na moyo wa kusaidia chama na maendeleo ya kweli. Sio wapenda majungu,fitina na wasio na uchungu wa maendeleo ya wilaya, Taiga lkwa ujumla. @UVCCM_KIBONDO @uvccm1978 @Joseph10111650 @BitamaDavid https://t.co/YafLpshSr0
Wizara husika shukeni hadi maeneo ya kijijini ili kutatua matatizo ya maji mungu awape masikio ya kuwasikia wanajamii wanashida ya maji safi na salama. https://t.co/p5C4IOLoR7
Tunashukuru mtendaji kwa kuthamini uwepo wa waraghibishi Katika kijiji chako cha kigendeka kwa kuwapatia barua ya utambulisho. Na watendaji wengine wa idara toeni ushirikiano kwa waraghibishi.
@DamasRosemary @Joseph10111650 @billmarwa@majaliwa_kassim@zittokabwe @TZ_MsemajiMkuu Shukrani ni hekima tosha tunasubiri Tanesco juu ya utekerezaji wa jambo hill nasi / wananchi wa biturana wapate umeme. Viongozi hoyeeeeee
Dalili za kushindwa , kubweteka,kufirisika kisiasa,kujua kuwa makundi ya mabwana na watwana, hakuna jambo lisilo la busara km kuweka mikono chini na kumpigia mwanamme mwenzako magoti aibu na haitasahaurika. Tumeumbwa na kifo ndio safari siasa aluta ........ https://t.co/Yxj4WIFjCa
Upinzani kwa siasa za sasa hata iwaje hamuwezi kutoboa, ombi la msingi na kwa nia njema kabisa pelekeni wenyewe ombi la kufutiwa usajili Wa vyama hivi hakuna namna nyingine mnaweza fanya mkafanikiwa kwa kipindi hiki Turudi kuwa na Chama Kimoja. CCM inatosha.
Ina sikitisha,inauma na inakela sana vitendo vinavyofanywa na watumishi wasiotii maadili na viapo vya kazi zao. Nasikitika kwa hili na kwa mma huyu alivhotendewa na nurse/ mganga kwa kituo cha afya kifura #Kibondo#Kigoma ni shida tupu.@umwalimu sister njoo https://t.co/CQHth08NI5
Mmmh nao Tanesco wamekuwa police hongera sana, mje kibondo kukamata wrote waharibifu km wanaeweka ways wa kushika nguzo kwenye miti au visiki na isitoshe aina ya ways wanazotumia za kisasa zaidi nchi nyingine hakuna. https://t.co/ioRGtvifty
Hakika ni mateso haya aliopata huyu mama. Wahusika jaribuni kukemea jambo hili. Anatofauti gani na Muuaji? Dhambi kubwa na laana kwa kutotenda haki kwa mma mzazi huyu. Waziri Nazi tunakuachia wapo wengi. https://t.co/CQHth08NI5
Hii ni aibu kubwa na kudhalilisha taaluma ya uganga,ukunga na uuguzi. Inauma kwa kitendo alichofanyiwa mma huyu na watumishi was afya ni Unyama, udhalirishaji na pia kuibaka taaluma ya afya. Wahusika Viongozi ngazi ya W,Mkoa na Taifa fanyieni kazi hili. https://t.co/NAYeNRLlvu
Wakuu tuwakilisheni haswa ili jamii iondokane na hali ya umasikini wa kipato.
Umasikini in tatizo kubwa kwa jamii ya kiafrika tulio wengi. Ninaimani nanyi. Mungu awe nanyi. https://t.co/PBL6JHTBX4
"Sisi Tanzania Tumeamua kuanza kutekeleza wenyewe miradi mikubwa ya Reli ya kisasa na Stieglers Gorge baada ya kuanza kukusanya na kutumia vizuri mapato yetu." - Rais Dkt @MagufuliJP#19EACSUMMIT
Huo utanufaisha wao na sio serikali wafanya biashara wajanja hawa Sikh hizi kumbuka hotel I za kitalii za kitalii. Mnada huo huo/tenda https://t.co/USOqPiGzIz
Wazo la kutoa vibali vya uwindaji wa kitalii kwa njia ya Mnada kutoka ule wa Advisory Committee (Kamati ya Ushauri) sio wazo la Kigwangalla, hili lipo kwenye Mpango wa Serikali wa Maendeleo wa miaka mitano tangu ule wa mwaka 2002. Mhe. WMU @HKigwangalla
So ordinary life even modern life can say to you a leader through misunderstandings my faith prevails fairly and leads to justice without excitement @Joseph10111650 @BitamaDavid@Layda07313018@moodewji
Jamii inajifunza nni? Huyo ni kiongozi aliopita kwa njia hiyo anajisikiaje moyoni mwake? Anaujasili kweli? Ana sauli wa ulalali au niwale ambao wanaosema jamani nilikuwa najiandaa? Inauma kusema na kusikia unaitwa shujaa,shujaa was nni? Kumbe hatujakomaa!!!!! https://t.co/ipFSsIIFtY
@masoudkipanya me nisichoelewa,kama walikuwa na uwezo wa kufanya huu ushujaa..y walianza mapema kuonesha dalili kwa kuwanyima mawakala barua na kukamata watu..kwa njia hii ya huyu shujaa wangeweza kutulia tu..na mmambo yakawa walivotaka..japo still WaTz tuache unafiki..tukiacha watatoka hawa
Kwa mtindo huo shujaa walishatangulia, nani shujaa? Vyote batili? Wale was miaka ile ndio shujaa kwa kupambana kutetea jamii sio kuiba,kunyanyasa nk simamia haki, uwajibikaji na wajibu ktk kusimamia kweli namaendeleo ya kweli.@Joseph10111650 @DamasRosemary https://t.co/OoOvtPEq9p