@privaldinho Umeifunga timu inayoshika nafasi ya kumi kwenye ligi yao kati ya timu 16 halafu unatupigia kelele huku tutakuitia NEMC sasa hivi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธ
@chaggaking @fumbokhan123 Kwa timu kama Simba 51% tunategemea zaidi mileage kuliko cash so anapata mileage mpaka inamwagika tufanyeje sasa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ alikuwepo Kassim Dewji, alikuwepo Azim Dewji wanapeana michongo hawa bakini hivyo hivyo ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ