@Ayodimejitz@luke_yuwas@MarryKayoa Ingekuwa hajawahi kutoa connection hapo kabla ningemtetea sio yeye
Ingekuwa huyo sio vixen wake pia ningemtetea
Ingekuwa tattoo hazifanani na zake pia ningemtetea kwa ufupi kama kimojawapo kati ya hivyo vitatu kingekuwa hakipo ningejaribu nami kumtetea
@___Aiman90@Mushi_plus@Narrowbeeflying Hiyo inajulikana ila bado sio lengo la swali, Kinachofanya hadi watu warisk maisha yao kwenye hizo pembe za ndovu ni kipi cha thamani kinatengenezwa na hizo pembe za ndovu?