Yaan nyinyi @airtel_tanzania mngejua mnavyotukeraaaaa na mtandao wenuu huu yàn cku ya pili sasa mtandao upo slow ktk Internet hatufanyi hatufanyi biashara zetu mlisababisha juzi nilipokua Morogoro nikanunua line ya @Haloteltz
Unaebana bana,tena endelea kubana//
ili uje uone tofaut ya Leo na Jana//
Tofaut ya Leo na Jana,ww Jana si ulibana//
Sasa Leo sibaniki,na utakosa cha kubana//
@tizneez@NikkiZohan @TheLyricalHulk Kuna vitu vinauma sana yaan mwenye kipaji anabaniwa afu wanatafuta watu wasio na vipaji wanapewa promo LA kutosha then wanaonekana bora daah is so sad.