@zoetjesheeftX Hapo uliposema mbna makanisa mengine wanavaa ndo utofauti kwan si kashasema kanisani kwake hataki ko taratibu zifatwe tu wasubiri ukumbini bila shida
@Billgrahams99@EsirEid Hizo nguvu wangetumia kwenda kuuliza familia au kumuuliza nchimbi mwenendo wake na siasa ndo unaishia apo au anaendelea na siasa ili tujue kweli wapo kwaajili ya nchi au kwaajili ya kufatilia chadema jambo TV na royal TV hizo media ๐๐๐๐
@KiwangoUpdates Alie edit mwambie afanye marekebisho tena mfumo wa ticket ya online mwaka jana haukuwa hivyo sawa haikuwa format hyo kwa Ethiopia airline sawa na majina aweke vizur pia kuhusu sehem anayotoka aandike vzur na muda wa safari pia aweke vizur ktoka dar to Ethiopia ni 2hrs and 45min.
@giftstarmelody@lulurobert__ Waulize mbna mwanza to isaka wakandarasi hawapo na isaka to shinyanga na shinyanga to tabora au ndo walipisha uchaguzi machawa wanakazi Sana na walivyojipa sifa kama vile wametengeneza wao
@thomasjkibwana@_zack255@HildaNewton21 Sasa bwana thomas mbona wanaenda kumpatia pole hawatumi ujumbe mtandao wanaenda directly kwann na yeye asingeenda sio kuchapisha mtandaoni ndo ilioleta shida apo nadhani
@Macheda__@Baradhuli2 Ebu jiulize walianza mazungumzo tangu lini ni miaka mingap imepta hawajapata majibu ndio maana wameona mbna kama dharau kwa kipindi ambacho wamemuachia heche wangeanza kufanyia kaz lakin hawakuliona mtokeo yake imekuwa mbaya zaid