Nakumbuka ulipokuja Jimboni kisarawe na kufungua soko la vigama natamani stand ingejengwa pale na kuzindua shamba la mahindi na kuzaa jina la mtaji wa masikini nguvuzake mwenyewe punzika Rais MSTAFU MHE B. W. MKAPA hakika ndio uliniamasisha kujiunga na CCM.
Jimboni KISARAWE zamani kwenye sherehe za 8 /8 kiwilaya kila kata ilikuwa inashindana kuonyesha ufanisi wake kwenye maendeleo LEO hii ni Tafakari 2020 TUFANYE MAAMUZI.