Kuanza mahusiano ngono katika umri mdogo au kabla ya ndoa, na wakati mwingine kuwalazimisha wasichana kuolewa bila ridhaa yao inasababisha kuwepo kwa majanga ya kiuchumi na kijamii nchini.
#michongoendelevu@unescodar @yptcampaign #03plus#bintiwakitaa@salamafound
Najua Matokea ya @SimbaSCTanzania yanawavuruga Mashabiki wa Mpira nchini Jumamosi hii #WeTalkTz tutawatafuta wachambuzi wa mpira na kujadili mambo machache najua mmemiss Sana @MustaphaBurhani nadhani tutaongea mambo mbali mbali hapa.
Kumbuka kupiga kura ni haki yako ya msingi. Kura yako ni mustakabali wako.
Nenda kapige kura.
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Asanteni sana kwa kunisikiliza.
@kura_yetu#KuraYetu Asasi za kiraia zinayonafasi kubwa ya kutoa Elimu ya mpiga kura kwakua zimejikita moja kwa moja katika jamii hivyo Ni rahisi kuweza kuwafikia wanachi kwa ukaribu zaidi #WeTalkTz
@kura_yetu Tume ya taifa ya uchaguzi inayomamlaka ya kutoa Elimu lakini unaweza kukasimu madaraka kwa taasisi nyingine Kama NGOs na kadhalika #KuraYetu#WeTalkTz
@kura_yetu Elimu ya mpiga kura utolewa kwa njia ya Vyombo vya habari , warsha na makongamano mbalimbali zinazoratibiwa na mawakala wanaofanya kazi kwa niaba ya Tume #KuraYetu#WeTalkTz