@MsigwaPeter kiukweli hata mimi akili ndogo sijaona alichojibu maana anaulizwa kuhusu kuminya upinzani anakataa mpk mambo ambayo yako wazi hawa huwa wanakula chakula gani wanakuwa na roho ngumu namna hii unaubisha hata ukweli naamini pepo haiwahusu hawa jamaaa
@zittokabwe@JamiiForums Yote yanakuja kwa kuwa watu wameambiwa ukweli kuhusu jambo flan hivi kwanini hili jambo linatiliwa mkazo sana kuliko mambo mengine ambayo yametia hasara/yanaweza tia hasara taifa letu
@BDozen Hawa wasanii wanmbele mbona hizo hawaji kutugawia sisi wabongo? Maana huo mkwanja kama ningepewa mimi ingekuwa mwisho wa matatizo katika familia yangu