Moja ya story kubwa kwasasa ulimwenguni ni kuhusu mwendelezo wa filamu maarufu ya spider-man ikiwa na nyota mpya wa mtoto wa star mkubwa Dunian wa film wilsmith anaitwa jaden smith
Kampuni ya marvel imethibitisha hilo
ila mashabika wa film hyo awajavutiwa na character uyo mpy
alfa_sportstz "Nikiwa na miaka 15 nimekonda na afva yangu siyo nzuri, kocha alinikashifu mbele ya kila mtu akaniambia "Hautawahi kuwa mtu mwenye mafanikio" aliniambia kwasababu sikuruka kwene mpira wa kona, nilitamani niachane jumla na mpira, ila nilijipa moyo