@pendendezah@ImMichael_K@TTCLCorporation Mambo yatakuwa hayajakaa sawa katika eneo lako. Mm nilisubiri almost mwaka mmoja ila siku ilipofika na wakatua mtaani, connection ilipatikana kwa kila aliyehitaji.
@DicksonHen7900@millardayo Wewe binadamu ajabu kweli.
Yaani awache kumuabudu Allah aliyeumba mbingu na ardhi, akakuumba wewe na huyo Yesu pia then akamwabudu kiumbe ambacho chenyewe kinamuabudu yeye Allah. Daah pole sana.
@godbless_lema@k_mjege@MarekaMalili Lema anafurahia ukandamizaji unaofanywa na waisrael kwa watu wa Gaza, lebanon, Syria na kwengineko ila anachukizwa sana ukandamizaji wa CCM kwa wanachadema.
Lema is a good man!