@kigogo2014@mwigulunchemba1 Nimesoma nae #mazengo alikuwa Vice HP ana akili nzuri tu sema anajisahaulisha.. halafu anatetea tumbo lake.. ndio dizaini ya kina Kabudi..wakishaingia kwenye kijani akili nazo zinahama
@RobhinEdson @chawanyu @Allan_Lucky@Kamigakikumbise@MarekaMalili@Kudu_ze_Kudu Nimeipenda Sana. Hongera Kaka. Huyu Jamaa wakati anauwawa nilikuwa maeneo ya Rombo. Kule ni mpakani kabisa na Kenya. Ingawa nilikuwa kijana mdogo kama miaka 11 hivi lakini nakumbuka jinsi hali ilivyokuwa ya kutisha na kusikitisha baada ya kifo cha Robert Ouko. R.I.P