Kaka mkubwa @ezekiel_kamwaga ameniuliza kama nina ushahidi kuwa Samia iliuwa maelfu ya watanzania.
Nimemjibu kwamba ninao ushahidi kwasababu nilicompile video zenye maelfu ya maiti na kuziweka kwenye file moja ambalo niliwahi kushare hapa.
Amesema anaogopa kuangalia damu!
@munyamambogo@kilepi_tweve We mjinga sana mwalimu alikuwa anawachapa viboko viwili mtoto akakubali akachapwa mikononi kwanini alimuongezea cha tatu? Kisa hakulala kuchapwa matakoni? Watoto kuchapwa ni lazima lkn lazima tuangalie uchapaji wenyewe huyo mwl anastahili onyo kali