@SuphianJuma Kwanini ruge mutahaba alikataa kurusha taalifa ya mkuu wa mkoa kipindi kile? Na tatizo sio mbowe au mnyika kuhojiwa bali wafatwe au waitwe wanaosemekana wamepigwa nae waojiwe. Hiyo ndo Story bulance. Usifanye tuamini kua ccm ni kukosa ubongo.
@kigogo2014 Alirudisha vyama vingi alituhusu soko huria aliruhusu tivii aliruhusu raia mwenye uwezo mdogo kununua gari ndogo 990'000 maarufu kama jabba nk. Hayo mengine ni kwakua alishirikiana na watu mbali mbali kama timu lawama kwa kocha. ebu tupe mfano yupi bora
Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka.
Quran 2:186