@MarekaMalili Kuna kipindi ilikuwa unaenda Kanisani/Misikitini kupata walau faraja tofauti na siku izi Viongozi wa Dini nao ni kama wanahitaji kufarijiwa...
Kwanza kumuona utoe pesa. Umekosa buku jero upige mlo wa jioni ila utalipa 20K kumuona na mafuta utauziwa ten..
Kazi kweli kwelii😎🙏
@Matallahkhamis@Abubakary_@Innocen89950594 Hizi dini tumeletewa tu.
Ila kabla ya hapo Afrika kulikuwa na tamaduni upande wa kiimani.
Mzungu kaleta Ukristo, mwarabu nae kaleta Uislamu.
Site za kustream Mpira live 👇🏻
https://t.co/90XXPCpUMX
2.Eleph Tv
3.Fawanews
4.Iphone SNC
5.Cricfy
6.DRM Sports
7.Nova Score
8. live sports
9.Youcine
10.PlayFy Tv
11.sportyz.
12. Futbol
13.Starball Tv
14.Epic Sports
15.Vipbox
16.koralive
Naendelea 👇🏻👇🏻
@kafir_nyau@TriciaAbou@hamis_abas Mechi itachezwa Ruagwa na itaoneshwa kwe screen kubwa pale kmc ila kabla ya hapo kuna tukio litafanyika kmc kuanzia saa 10 jion
@ShaymarShahame3@PresenterNoah Mane hana sababu yakusema kuwa wao ni MABINGWA wa Afrika kwa sababu ni mabigwa. Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi.
Na ukiona Baba anajitambulisha kwenye familia yake kuwa yeye ni Baba ujue kuna tatizo🤔
When a Kenyan student From KEMU University lectured President Ruto, afu unakumbuka wanafunzi wetu wa UDSM juzi walikuwa na mabango ya Never Again 😄 🤣, Dear God tulikukosea wapi sisi waja wako
Tundu Antipas Mugwai Lissu, you can't go toe to toe with this Man broh 🙌.
Yani anaelezea jambo kwa hoja zinazomake sense hata mwendawazimu anaweza elewa
@MichaelMwebe Sasa utakutwaje na kosa la kubaka wakati kuna makubaliano mliingia pamoja.
Senegal angekutwa na kosa la kubaka endapo mpira usingeendelea baada ya kugoma.
Ila kule kushawishiwa kuendelea kucheza na mchezo ukachezwa hadi mwisho hakuna ubakaj hapo.
Ni kama Mbakwaji alikuwa anataka
@RevocatusMagum1@Gibson44178359 "Naambiwa kuna timu mojawapo" ndo nini?
"Naambiwa" ni nan anayekwambia na tunaaminije kama umeambiwa au umejitungia huko kuambiwa?!
"kuna" huu ni unafki na uzandiki plus ushabiki wakipumbavuu
"timu mojawapo" ni timu gani hiyo inaitwa mojawapo??!
Huu ni umbea au taarifa??!🤔
@McinikaWaLamar@IamGabby_01 Hapa ni kama unawaasa vijana wasifanye starehe.....
Wacha vijana wapige starehe huko huko stareheni ndo watajipatia huko ila nyumbani wanadumaa.🤔