@itzjacton Tembele Kurasa Za @DecorWithMaria Ujipatie Kile Roho Inapenda. Mwisho Wa Mwaka Kama Kawaida Yetu Tuna Punguzo La Asilimia 70 Kwa Bidhaa Zote Utakazohitaji. Karibuni.
Kanuni za Pesa
▪️Jifunze jinsi ya kuwekeza
▪️Matumizi yasizidi mapato
▪️Usitumie pesa ambazo hujapata
▪️Usiichukie pesa
▪️Usichezee pesa
▪️Usiwe mtumwa wa pesa
▪️Kua na mfuko wa dharura
▪️Fanya pesa ikufanyie kazi
Zingine jazia hapo chini kwenye comments
Ukisoma Comments kwenye Post za Mange IG unaelewa kuwa Watanzania walio wengi hawajui haya mambo ya simu yakoje na wanafata mkumbo tu, simple logic huwezi kulinganisha demand ya US na TZ ni vitu viwili tofauti, Yes simu hazipatikani kwa wingi Duniani kulingana na mahitaji
Mida Ya #MvuviRecommendation
Derick Ni Kijana Anayejituma Katika Kazi Zake, Hii Inafanya Sometimes Kukosa Muda Muda Wa Kukaa Na Mkewe Nyumbani Maana Mda Mwingi Anakuwa Kwenye Hustling😎
Hili Swala Linamsumbua Sana Mkewe Na Hakujua Anafanya Nini Kuweka Kila Kitu Sawa