@TheCitizenTz RT sijui wana shida gani? Hivi kweli tumeshindwa kuweka kambi na kutafuta wakimbiaji kutoka Arusha, Manyara, Singida na Mara? Maana hata wakimbiaji wa Kenya wanatoka Bonde la Ufa kwa sababu ya namna walivyo na mazingira yanayowazunguka ya milima!
@mshambuliaji@Zembwelabeberu Serikali ya Mtaa haijui nani alimwondoa. Ni ajabu kidogo? Kwa hiyo alipofanyiwa huo ukatili nje ya Dar es Salaam, alirejea au hakurejea
@FatumaCute Daah huyu dada ni mtu mwenye heshima na ana shirika lake linalojihusisha na msaada kwa wanafunzi wanaishi kwenye mazingira magumu nchi nzima. Ni kampeni iliyofanikiwa sana, amawarudishia tumaini watoto hawa. Sijui kwanini umeamua kutumia picha yake kwenye hii posti?
@MichaelMundanda@Ally_0h@Icon__08 Kisheria kujiua ni kosa na kama kosa linatendeka mbele yako kama raia unapaswa kuzuia utendekaji wake au kama huwezi kuzuia unapaswa kuripoti kwenye mamlaka. Kwa ninavyoona huyu jamaa alikuwa na uwezo wa kuzuia uhalifu huu kutendeka