Fuatilia matangazo ya moja kwa moja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Elias John Kwandikwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Viwanja vya Karimjee - Dar es Salaam.
Mtangazaji maarufu nchini, Maulid Kitenge leo Ijumaa ametambulishwa tena katika kituo cha Redio cha EFM. Ni baada ya jana kuagwa Wasafi Media. Kitenge aliondoka EFM na kwenda Wasafi na sasa amerejea.
Vitoto Vya Nguruwe Kimoja Kinauzwa Elfu Hamsini Mpaka Sabini Ukinunua Kumi Ni Laki Saba,Gharama Ya Kuwalisha Na Madawa Kwa Miezi Sita Ni Laki Sita,Baaada Ya Miezi Sita Ukiamua Kuwauza Kwa Laki Tano Kila Mmoja Unakuwa Na Million Tano,Ukitoa Gharama Unabakiwa Na 3.7M Kama Faida.