1/2Huduma za uuguzi zilichelewa kukua katika sekta ya afya Tanzania kwa kutokuwepo mafunzo kwa wauguzi.
.. fursa zimeongezeka hususani katika fani mbali mbali zikiwemo uuguzi wa magonjwa ya watoto, figo, saratani n.k.
Ila wakimaliza mafunzo hawatumiki katika fani zao