"Lazima tuwe na Muungano wenye usawa, tunataka Zanzibar ichukue nafasi yake katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, lakini pia Tume ya Jaji Warioba ni sehemu muhimu ya kuanzia" - @zittokabwe#KwanzaHabari
Vijana tuna future zetu,sisi ni taifa la leo na kesho,tukikosa kuchagua viongozi wakusimamia haki zetu tutajiingiza shimoni. Naamini kupitia @ACTwazalendo watatuvuusha salama na tutafika katika malengo chanya tunayoyapigania @zittokabwe@SeifSharifHamad@IsmailJussa@MazruiNassor
#AnaombaUshauri alishika mimba ikaharibika hadi ikapelekea kusafishwa lakini akishika mimba inamsumbua sana anatapika na tumbo linamuuma sanaaaaa. Je nn tatzo? @DrMabula @SajjadFazel
Wanafunzi watatu wa Kike nchini Burundi wamekamatwa wiki iliyopita na Mamlaka nchini humo kwa kosa la kuharibu picha ya Rais Pierre Nkurunziza iliyopo kwenye madaftari yao kwa kuichora chora, Wanafunzi hao wanaweza kufungwa miaka mitano kwa kosa hilo.#MillardAyoUPDATES (CNN)
Tunashukuru sana watanzania mnaoendelea kutuchangia @ACTwazalendo, michango yenu ni muhimu sana katika kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi. Tunaomba muendelee kuwezesha #ShushaTangaPandishaTanga#SafariIendelee
Siku ya leo imeingia katika siku za furaha kubwa katika maisha yangu kwa kushuhudia @ACTwazalendo ikiingia Zanzibar kwa kishindo. Nakushukuruni sana Wazanzibari kwa mapokezi makubwa na ya heshima mliyompa Kiongozi wa Chama (KC) @zittokabwe.
#SafariIendelee#TheFutureIsPurple
Tunaamini katika jukwaa la Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo ni jukwaa sahihi ambalo tutafanya siasa za kistaarabu na kwa weledi mkubwa kupitia jukwaa hili tutapigania haki na demokrasia katika nchi yetu. @ActVijana @ActMkoa @ACTWanawake @zittokabwe@IsmailJussa@SeifSharifHamad
Kitaalamu tunaita flying kick with ambayo kwa kipimo cha speed ni km 120 kwa sasa na kutokana na third law of motion jamaa alikua na pikipiki basi in every action there is equal and opposite reaction ambayo imemfanya jamaa alale horizontal na kufanya heart beats accelaration low