Nduguwawili wanaamua kuingia dili la hatari na mob mmojaya kumsaidia kupenyeza mzigo wake,familia yao ilikua inajihusisha na biashara ya fishing Walipata deal kutokea kwa huyo mhuni ila likaenda hovyo,so kamaunavyojua kwenye ulimwengu wa wahuni neno msamaha hatulijui, kaziwanayo!
Moscow Mission (2023)
Detectives kutokea China wanaenda kupiga Mission kali katika Jiji la Moscow, Urusi wakiwasaka wahuni ambao walikua wanafanya uhuni katika reli kuu inayounganisha China na Urusi.
Hii ni story ya ukweli, though imeongezwa nyama nyama ili kupata taste nzuri
Sweet Home (2020 -)
Hyun-soo anahamia kwenye apartment hiyo ni baada ya kuipoteza familia yake ambao walikufa kwa ajali ya gari.
Akiwa katika hiyo apartment kuna vitu vya ajabu vinaanza kutokea, watu wanaanza ku change na kuwa monsters wa kutisha.

HIZI ni Video 10 kutoka YOUTUBE zitakazobadilisha MAISHA yako zaidi ya degree ya miaka 4.
Madini time...🧵
RETWEET Iwafikie Wengi 🙏
📌 #10 will blow your mind