@KinPin_Colombia@DannyThePlanner@fbuyobe Ndio maana upadri ni maisha yakujitoa. Kwamba umekabidthi kila kitu kwa kristo mpaka maisha. Sasa bac vipengele hivyo utaangalia kama unaweza kuviishi au ni ngumu kwako. Na pia huo ni wito..
@dsm2029@PhaustineYohana@GeorgeJob14@dsm2029 cjaona sababu yakumtukana jamaa na mamake, kama ulikua unamawazo tofauti ungeyawasilisha au bora unge muattack yeye than kumuingiza mamake uku, embu jaribu kukua kidogo