Anachokiongea Ruto hapa ndio kile kile tunachokishangilia na kukilipia mabilioni Tanzania bila kujali madhara yake kwa mamilioni ya watanzania.
Mpaka VETA wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia.
Yani anayeongea na anayeongeleshwa wote hawaelewi kinachoendelea lakini wanalazimika kwenda tu kwa sababu “kiingereza ndio sera ya Elimu.”
Miaka 65 ya uhuru lakini bado hatuna uhuru wa kujifunza na kufundisha kwa lugha yetu.
UKIMSIKILIZA hapa Mhe LISSU ndio UTAJUA kwanini CCM na SAMIA wanamchukia sana Mhe LISSU kwa kiwango cha kumuweka GEREZANI wakipanga kumkomoa na kumuondolea uhalali wa kuwa KIONGOZI kwa Kumkuta na hatia KESI ya UHAINI
Kosa Mhe.LISSU amewazidi MAARIFA 😄 https://t.co/Ls9nc7TPHl