@zittokabwe Zitto acha kutugeuza watoto wanafunzi wanapiga kula waweke kwenye sanduku kivipi,kwani hamuna mawakala na kazi ya mawakala ni nini,kazi ya dafutali la wapigakula ni nini
@MakLv7@AugustinoBunza4@fatma_karume @aksala689 Acha zako hawa watu huwa wanadanganya wengine kuwa wako kimoja lakini yakikukuta wanajiweka kando yukowapi mdude atakumuona huwa wanaenda kweli
@RadioCitizenFM Acheni kudanganywa na @TunduALissu hahojiwi kwasababu wanaona ni mwendawazimu,kama badala ya kusema atawafanyia nini watz anashambulia wengine