🌍 KABLA ya KUJADILI AMANI, Tusisahau HAKI KWANZA: Amani bila haki si amani; ni ukimya wa waliodhoofishwa. Amani ya kweli huanza pale haki inapoheshimiwa, si pale watu wanaponyamazishwa.
Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa njia zake.
Kila tone la damu lililomwagika lina thamani mbele zake. Kila kilio, kila pumzi ya mwisho, ni ushahidi wa mateso yasiyo na hatia. Mungu hawezi kupuuza machozi ya waja wake. Atalipa, na kwa wakati wake, haki itatimia.
Msiache kuamini. Jipeni moyo, maana imani ndiyo tumaini letu pekee. Wengi wamekufa, wengi wamepotea, lakini hakuna kinachopotea bure machoni pa Mungu. Siku moja, mtaona kuwa maumivu haya yote hayakuwa ya bure. Siku moja, machozi yatafutwa, na moyo uliojeruhiwa utapata amani. Na hapo mtasema kwa machozi ya furaha “Asante Mungu, kwa sababu ulikuwa nasi hata katika giza.”
@godbless_lema Tanzania ipo njiapanda. Hata wengi tulioamini tutaishi kwa ndoto ya pamoja, nao wanaonekana kusaliti upande uliowalea. "No reforms No election" haitawaacha salama, hapo ndipo watakapojua ukuu wa Mungu.
Lissu: “Nawashukuru Mawakili wangu. You fought bravely, professionally, you did your duty, and you did it well. It’s time to step aside. Kuanzia sasa mimi ndiye nitakayejibizana na hawa Mawakili wa serikali.”
Leo Tundu Lissu ameileza Mahakama kuwa analala chumba cha wanaosubiri kunyongwa: Je, Tundu Lissu amehukumiwa?: Hata kesi yake bado haijaanza kusikilizwa. What a great bad Story!😢😢😢
Baada ya kutoa elimu ya kina kuhusu haki na sheria zinazomlinda mfungwa au mtu aliyewekwa rumande, ikijumuisha zile zinazoelekezwa katika Mandela Principles,* Tundu Lissu amesema imetosha:“Kuanzia leo, mimi ndiye nitakayekuwa najibishana na hawa Mawakili wa Serikali.”Tundu Lissu
Video: CHADEMA Vice Chairman @HecheJohn was brutalized and snatched off the ground after being stopped by police on his way to attend @TunduALissu's hearing at Kisutu Court this morning. Additionally, Secretary General @jjmnyika was also blocked on his way to court.
Just two days ago, Mr. Heche was kidnapped by police at Kariakoo and dumped far from his home. President @SuluhuSamia has resorted to violence and intimidation to stay in power.
#FreeTunduLissu #NoReformsNoElection #SamiaMustGo