@PushatheTruth@Jambotv_ Wewe mayai viza hauyaoni? Au unataka kusema Hauna mikono ya kurusha yai viza? Tafuta yai viza na wewe urushe, kama umeweza kuType bila shaka mikono ya kurusha yai viza unayo. Rusha yai viza na wewe, sisi tuache kwanza.
@mindeky1@EduTalkTz Kijana hizo zinaitwa speculations, tunaofwatilia mambo tulishajua asilimia ziko hivi:- kufungwa 80% kunyongwa 10% na kuachiliwa huru 10%. Wanaharakati walitembea na asilimia tu. Hamna hukumu kuvuja Wala Nini.