Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?
Mpango wa kuhamisha Israel kuja Afrika uliitwa "Mpango wa Uganda" na lilikuwa pendekezo la Uingereza wakati wa ukoloni
🦅KABLA HUJANUNUA SIMU INGIZA HIZI CODE ITAKUSAIDIA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI
📚📚📚
Hizi zinaitwa 🛠Testing codes hua zinasaidia kutambua kama sehemu moja wapo kwenye simu ni haifanyi vizuri ama ni mbovu,kwa fundi simu ni vizuri pia ukizijua zinasaidia kukupa mwanga wa tatizo
Kwenye insurance pia Kuna hii Link iko na taarifa zaidi unaweza itumia pia..
.
Ukishaifungua bofya registration number weka number ya gari then verify..
.
Itakupa majibu, Link yenyew ni 👇..
.
[https://t.co/G5nHTXdJMH]
.
🦅CODE ZA KU BLOCK SMS &SIMU ZINAZOINGIA AMA KUTOKA BILA YA MTUMAJI KUJUA.
⚡️⚡️⚡️⚡️
Unaweza ukazuia simu ama sms zinazoingia kwenye simu yako ama zinazotoka kutokea kwenye simu yako
1. *35*0000*11 #
Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote
Jinsi ya Kujua Kama Gari Inadaiwa [Fine za Barabarani]..
.
Sometime inatokea umemuazima mtu gari anavunja sheria anapigwa fine then hakuambii..
.
Sasa anarudisha gari na wewe unatembea na lile deni Linakua kubwa bila kujua..
.
Inatokea siku wanakudaka na hauna kitu mfukoni..
Nyani 15 Kati ya 23 wamefariki Dunia Baada ya kifaa maalumu alicho-Kitengeneza Tajiri nambari moja Duniani “Elon Musk” kupandiza (kuwawekea) kwenye Ubongo wa nyani hao kifaa kinaitwa “Neuralink Brain Chip”‼️
Taarifa Hizi zimetoka Kwa “Kamati ya Physcian (Wataalamu) na Madawa”
⚠️MPYA : Nikumegee Siri Kidogo Kuhusu Kuagiza Gari Japan..
.
Mara nyingi umekua ukiagiza gari Japan au hata ukinununua hapa hapa Bongo unazikuta na stickers kwenye Kioo cha mbele na Nyuma..
.
Zile stickers huwa na maana zake though wengi wetu huwa hatujui kaa vizuri ule MADINI..