@GreatNorthUSK@TanzaniaLeaks Kama umepagawa na jina fuatilia nchi kama Lebanon utanielewa though si waislam wote wanaijuq Qur'an na kuna wengine wanaijua wanajichetua
@DdropsT@guy451988@Hope2Others2024@whamsterm@ze_mandevu Shida ni kwamba mnajifanya mnaijua Qur'an kuzidi ss waislam likija suala la bible mnatuona ss ignorant, hizo Aya zote za Qur'an zina mundelezo wake hazijaishia hapo
@MarwaIcon @Msambara_ @mwambingama@Sativa255 Kwa hiyo hapo kwenye suala la matusi ndio unajiona umemaliza mwenyewe au kuna jipya af we mchumba tu umejificha nyuma ya keyboard.
@MjumbeMkuu@Sativa255@tanpol Kweli alionewa na wengi tuliumia ila kwenye hii interpretation yako umetudnganya wote sisi waswahili ma tunakijua vzr lakini sawa fanya uko sahihi
Je tusi lingine kule mbele na picha ya muhusika endelea kumjaza Mjaze mjazeee
Jamaa ana PTSD
⏳ Walichofanya wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje ya Nchi kwa Wiki iliyopita.
.
🧵Nimekusogezea taarifa 10 KONKI za Watanzania waliopo ughaibuni na maendeleo yao kwa wiki iliyopita yakiwemo magoli yao makali 🔥
.
NB: Naomba Shuka na Uzi kisha U-RETWEET 🙏🏿👇
@PresenterNoah Nigeria wapumbavu ni kawaida kuwafanyia hivyo wenzao mfano Game na South Africa walifanya michezo hiyo game na hao hao Libya wasitegemee ku tritiwa vzr