Tufanye kazi kwa bidii. Tusipoteze muda kuwajibu wanaosema vibaya kuhusu juhudi zetu. Ni lazima kuendelea kusonga mbele, kwa sababu Mungu huibariki mikono inayofanya kazi kwa bidii, kwa uaminifu na kwa subira. Focus yako iwe kwenye safari yako, si kwenye maneno ya watu.
Niliwahi kumsikia mtu mmoja akisema kuwa;
“Ukiwa kama kijana, katika jambo unalolifanya (unalotaka kufanya, jiulize kuwa, je unasukumwa na presha ya jamii au ni mipango na MALENGO yako?”.