@Sativa255 Kwamba nyinyi ndio wanaharakati na wapigania uhuru peke yenu kati ya wanasiasa na wananchi wengine? Mbona viongozi wote wa Chadema na vyama vingine wanakosoa na wapo nyumbani kwao?
Gundueni ni kipi mnafanya kwa taifa lenu..
@phano09@elugano15@raiyajenerali@mtumba Kwani ni lazima waelewe? Uende ugogoni ulazimishe maeneo yote yaitwe Livingstone ama St Mary's wakati majina ya wenyeji yapo?
@Mwinshehe07 Bora huyo anaefurahia wao kutekwa, kuna wale wanaofurahia kabisa police na viongozi wa serikali wakifa, tena huenda mbali kwa kumshukuru Mungu kwa kusema wanapokea japo hicho kidogo.
Tumetengeneza hiyo desturi na sasa imekuwa ni utamaduni