Ramadhani yaweza kuwa tarehe 2/4/22 kutegemea na muandamo wa mwezi. Retweet iwafikie angalau watu 1,000 kabla ya siku hiyo. Namuomba Mola akulipe yaliyo mema kwa kusambaza ujumbe huu wa kuwaandaa waja wake. Aaamiin
Nilikuwa napenda sana ziara za Marehemu Magufuli alikuwa akienda sehemu akisimama anasikiliza kero za wananchi hapohapo anapiga simu kwa waziri husika akijikanyaga tu amekwenda na majii , mzee alikuwa muazi saana alikuwa hapendi longo longo hata kidogo .
Rest in Peace
●Kila aliyeishi zama za John uzeeni mwake atakua na makuu ya kuwasimulia wajukuu zake.
●Nchi ilipata Rais
●Wananchi walipata kiongozi
●Vyombo vya ulinzi na usalama vilipata amiri jeshi mkuu
●Na System illipata MFADHILI
I paid my last respects to my dear brother & friend, Dr. John Magufuli, the late President of Tanzania in Chato. You served Tanzania & Africa with your heart. Thank God for your admirable successor H.E President @SuluhuSamia. She graciously facilitated my trip. RIP. 🙏🏽💕