@Iam_Malunguja@nyegazi Unabishana na mtu hajui md analipwaje, just to let him know take home ni 900k+ hata baada ya kupanda daraja after almost 4 years bado inachezea hapo kwenye 1.2. , then jiulize kwenye dunia hii ya sasa hiyo hela inakusaidia nini,
@officialshakuu Kama anatumia ARV vizuri its very possible, kwasababu ARV inazifubaza hizo virus to undetectable levels=no transmission , ila akiacha tu kutumia ndo kamzozo