My online presence is a ghost. My digital footprint is a myth. My ISP thinks I'm a sweet grandma who only looks up knitting patterns.
My secret? @windscribe VPN.
Stay spicy. Stay private. ๐
#Windscribe#VPN#Privacy
DAR ES SALAAM โ Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam. Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria hatua muhimu katika jitihada za serikali kuboresha huduma za usafiri wa umma katika jiji la kibiashara.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa DART, Dk. Athumani Kihamia, ENG itachukua uendeshaji wa awamu ya kwanza ya mradi wa BRT na kuleta mabasi mapya 177 yatakayoongeza ufanisi na upatikanaji wa huduma jijini. Mchakato huo ulianza mwaka 2017 kupitia mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP), lakini ulipata changamoto za kimajadiliano kuhusu viwango vya nauli na mifumo ya usuluhishi.
Mnamo 2020, serikali ilitangaza zabuni upya ambapo kampuni 40 ziliwasilisha maombi, na ENG ikaibuka mshindi. Hatimaye, mchakato huo sasa umekamilika kwa kutiwa saini kwa mkataba rasmi wa utekelezaji.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
Zaidi tembelea //www.habarileo.co.tz
#HabarileoUPDATES
@Livinho_CR7 Mnakaa na kiongozi wa chama miaka 20 na baada ya kuondolewa kwenye box la kura, tena kwa uhalali bado mnalialia mitandaoni? Njooni kwetu CCM, hata hatuwazi uchaguzi au kujaza fomu. Sie tunayeona anatufaa ndiye tunapasa sauti zetu za "NDIYOOOOO" ๐. Hatuwazi wala kupata kisukari!
@EduTalkTz Acheni vijana wapewe nafasi. Maana hao 124,000 wote walikuwa na vigezo, na naamini wengi walichujwa kabla ya hiyo idadi. Hivyo, ni sahihi kupewa nafasi sawa kupambania nafasi hizo 3,600. Kuna kada ukichuja sana CV na barua kabla ya mtihani wa written, unakosa mtu wa kuajiri.
@SuluhuSamia Pole sana Mheshimiwa Rais, Daktari SSH. Pia, poleni sana watu wa Mbozi na Arusha. Hakika huyu dada alikuwa mchapa kazi na mtu mwenye kujituma. Nakumbuka nimefanya naye kazi mwaka 2007. Mwenyezi Mungu awape faraja ya pekee familia yake.