@hajimtete1@Mbobezi@MagufuliJP Milio wengi ww na nani jisemee mwenyewe kaka moyo wa mtu kichaka anaweza kuwa anakusapot kwa kila jambo kumbe moyon mwake anakungonga tu
Mlio wengi ww na nani jisemee wew mwenyewe moyo wa mtu kichaka kaka mnaweza kuwa mko pamoja na anakusapot kwa kila jambo lkn moyon mwake anakungonga tu
@Benniesharom2@Mbobezi@MagufuliJP Subiri Watanzania tulio wengi tuna Imani na @MagufuliJP ambae tutampa kura nyingi tarehe 28.10.2020 hata we unajua ulie nae hawezi shindana nae kwa zaidi ya 80%
@lusesalameck@Kiganyi_@MarekaMalili@jpm Hamuamin najua kilichotokea historia hyo uliyo karirishwa inaenda kufutika mwaka huu hamta amin ila mjiandae kiakili