Top Tweets for #ADABU
Ce n'est pas compliqué d'être poli, c'est téllement possible mê à l'age avancé.
C'est possible de critiquer tout en respectant la personne. Certains sont des parents, des grands frères, grandes soeurs, des maris, des épouses...
Tujifunze #Adabu
Kwa kipindi kifupi cha mwaka mmoja sasa ambao umekuwa mtumishi Ofisi za Makao Makuu ya Chama chetu @ACTwazalendo, umedhihirisha taswira ya utamaduni wa #Uadilifu, #Uwajibikaji, #Heshima na #Adabu kwa kila unayempokea na kumhudumia ofisini. Tunajivunia uwepo wako @CatherineMluta

@millardayo Haina shida, Tuliambiwa tutafundishwa #adabu lkn hatukusikia sisi wananchi MAZUZU ,..Ni aibu kubwa sana nchi imepata UHURU miaka zaidi ya 61 eti mpaka leo tunategemea umeme wa maji ya MVUA ,Kiangazi hakuna umeme ni MGAO sii mjini Sii vijijini,.CCM hii nchi ilishaawashinda basi Tu
Kinacho kupa #Jeuri kilinde na kama huwezi kuwa na #Adabu maana kesho hakuna anaye ijua
#JumapiliNjema 🙏🏽
#Adabu/etiquette haifundishwi shuleni huanzia nyumbani na kuimarishwa shuleni.
Sheria inayosema 'kumpiga mke ni kosa' iangaliwe upya una base upande mmoja pasi na kuangalia chanzo hakuna mwanaume anae weza mpiga tu mkewe bila sababu labda chizi au mlevi ibanishe pia hukumu ya mwanamke anaewmkosea #Adabu mume wake ni ipi.?
Kula kwa mkono
kupitia kula kwa mkono huongeza upendo baina yenu istoshe pia humfanya mtu kuwa na adabu ya kula
Mwanachuoni mmoja amesema:
Pindi ukiingia kwa yeyote, kisha ukamsalimia. Subiri hali ya kuwa umesimama hadi pale atapokuashiria mwenye nyumba sehemu ya kukaa. Mwenye nyumba anajua zaidi aibu zilizopo kwenye nyumba yake.
#Adabu #Tabia_Njema
TAREHE ZA MISHAHARA ZIKIKARIBIA UTAONA WANAWAKE WALIVYOKUWA NA #ADABU HATA MUMEWE AKITOKA CHOONI UTASKIA Honey SAFARI YAKO ILIKUAJE
😄😄😄😄😄😄
Ikiwa utakuwa na uchache wa #Elimu na ukawa na wingi wa #adabu ni bora sana kwako kuliko kuwa na wingi wa #Elimu alafu uchache wa #adabu.
#ramanyasuka93√
@adriano08904685 @HecheJohn @halimamdee @MsigwaPeter @IamJongwe__ @binamubananga @JPambalu @TunduALissu @freemanmbowetz Ana influence ya nini? @TunduALissu ni #Mropokaji Ana #MIHEMKO Na mtu asiye Na #STAHA wala #AIBU Na #ADABU kwa kifupi ni mtu wa HOVYO
vijana wa @ChademaTz ambao hawana maadili wanamuona kama role model wao Ndio maana wengine wapo mahabusu mwezi sasa
Last Seen Hashtags on Sotwe
daddy
Seen from Germany
Teenagee filter:videos
Seen from Germany
lahaina
Seen from United States
รับงานลำพูน
Seen from Thailand
momson video ==
momson() +filter:videos
Seen from United States
C5OjsoDeLaCDMX
Seen from United States
สวิงป่าไผ่
Seen from Thailand
climatechange
Seen from United States
ometv
Seen from Canada
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



















