Top Tweets for #MITAALA
@bwaya Hahaa,enzi zile za uhenga msomi wetu @EduTalkTz angekutana na mzazi mfugaji anasema tija ni mtoto wake kuchunga ng’ombe,mbuzi na kondoo badala ya kwenda shule kusoma ufugaji wa ‘merino’ anaouona hauna tija,msomi angeungana na mawazo ya mzazi kuwa ndiyo kipimo cha #mitaala.

Walimu walikuwepo.Yalikuwa maamuzi ya #kimitaala.Mabadiliko ya #mitaala yalikuwa
yanatokea.Mfano kutumia SPIM —waliona ndiyo rahisi na ya kisasa zaidi wakati huo:https://t.co/A03hCBsUDG cf.https://t.co/y2OjstGw2R.
Pia waliona itaturahisishia kutoanza
na C/C++kama ilivyokuwa ada.

Inawezekana labda hakukuwa na Mwal wa C maana C nayo usipokuwa makini inakuacha. Na inategemea unataka kufanyia nini hiyo lugha unayosoma unless iwe ni core kwenye course. Karibu and I can help you hapo kwenye Python.
Hawa wadau wanaoshirikishwa “kikamilifu” katika mchakato wa mabadiliko ya #MITAALA ni wakina nani @bwaya ? Wapi tunapoweza kupata taarifa za maendeleo wa huo mchakato wao ili tufahamu unatoka wapi na unaelekea wapi? Why is it so opaque?
@wizara_elimuTz @TIE_Tanzania @HakiElimu
@ItsKamala @EduTalkTz Mtalaa sio kitu cha siku moja. Nijuavyo kazi inaendelea na wadau wanashirikishwa kikamilifu.
@EduTalkTz @Udadisi Kaka kuna katabia kamepata umaarufu cha kushambulia tu mtalaa na kuuona kama tatizo kitu ambacho mimi na wewe tunafahamu hakiko kama kinavyosemwa. Tatizo kubwa ni aina ya walimu wanaopewa kazi ya kuutekeleza. Natamani watalaam wa mitaala kama @albertkissima waliseme vizuri hili.
Serikali ya Tanzania yawashirikisha wadau kutoa maoni ya maboresho ya elimu ikiwemo mapitio ya sera na mitaala.
#serikali #Tanzania #maboresho #elimu #wadau #sera #mitaala #voa #voaswahili #dunianileo
Mjadala wa kubadili #mitaala utagota kama wadau tutajadili kile kinachowezekana kufanyika kwa ubora kwa kutumia mifano ya kile ambacho hakifanyiki(vilivyo)sasa kudai kuwa haitawezekana kukifanya:
Mf.,wanafunzi kutembelea/kuona Mlima Kilimanjaro kujifunza mabadiliko ya tabianchi.

@zoomafrika1 Tanzania tunakomoana kubadilisha #mitaala ya #elimu ili kumkandamiza mtoto wa masikini asipate elimu bora...

@gracemacha @ProsperMasau #mitaala haisemi kufundisha uzalendo maana hizo nyombo hata kwenye vitabu hazimo #tunafundishakusubiriakuajiriwanasiyo
@Tdeogratias @HnWaziri @Nguzo_Jr @EMwasuluka @bakarijb01 @sedinamayaka Ambacho tunakosea ni kuendelea kujenga vijana kwa mbinu zile zile na tukitegemea wakapambane katika vita mpya. #mitaala haiendani na soko la ushindani
@ManenoIzaak @kigogo2014 @bajabiri Labda ndg yangu @NevilleMeena
atueleze iwapo walishabadili #Mitaala ya Uandishi wa habari!
Last Seen Hashtags on Sotwe
cos原味
Seen from United States
Gokunk
Seen from United States
siblings #incest
Seen from India
itiraf kadın
Seen from Germany
보추
Seen from United States
minichat((()))*+filter:native_video
Seen from Turkey
فروخ
anxiouspanda()****** () +filter:native_video
Seen from France
omegle
SuriyaPrabha
Seen from Japan
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers












