Top Tweets for #ManWater
@OfficialAliKiba #Manwater combinenga combination sounding
Papiriiiiiiiiii yaaaah @OfficialAliKiba achieniiii hizooo vibes tuishii nazeeeee mazeeeee πππππ¨π¨π¨π¨

#BURUDANI Producer Man Water amenyoosha maelezo kinachoendelea kwa sasa kati yake na @OfficialAliKiba
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #OFFAIR #Alikiba #ManWater #Kombinenga
#BURUDANI Kombinenga Man Water anasema hawezi kuisahau ngoma ya 'Mapenzi kitu gani' ya #MBDogg. Hapa anashea alivyorekodi wimbo huo kupitia Heshima Ya BongoFlava.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #OFFAIR #MBDogg #ManWater
#BURUDANI Tathmini ya Producer Man Water Kombinenga kuhusu suala zima la Production kati ya Producer na msanii wanapokuwa studio kurekodi nyimbo.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #OFFAIR #Alikiba #ManWater #Kombinenga
#BURUDANI Kombinenga Man Water akifunguka @OfficialAliKiba alivyomtega baada ya kuachia ngoma ya 'Mvumo wa Radi' yenye ladha mpya kwenye muziki wa BongoFleva.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #OFFAIR #Alikiba #ManWater #Kombinenga
#BURUDANI Heshima Ya BongoFlava na Producer #ManWater akifunguka suala zima la maadili ya wasanii kwenye sanaa wanayoifanya.
#PlanetBongo #HeshimaYaBongoFlava #OFFAIR #ManWater #Kombinenga
#BURUDANI Producer #ManWater Kombinenga amefunguka kwamba alikuwa hajui kama ngoma ya MB Dogg 'Mapenzi kitu gani' aliziimbia Media na vipindi vyote vilivyokuwa vinasapoti kazi zake za muziki.
#PlanetBongo #OFFAIR #Muziki #RichMsafii @lesa_sid
DAY ONE STUDIO SESSION WITH #ManWater
β’New song, new DAY, new opportunity. Letβs make it great together.
music is the food of love, play on This link....new my song ππ
https://t.co/JHHIUV5Y1w
Tazama namna Bendi ya Combinenga inayoongozwa na mtayarishaji wa muziki #ManWater, walivyopiga kionjo cha wimbo rasmi wa tamthilia ya The Ottoman LIVE kwenye uzinduzi wa Minara 26 ya Ardhini inayohusika katika urushaji wa Matangazo ya Televisheni - DTT.
Usikose kutazama tamthilia ya THE OTTOMAN kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 4:00 usiku kupitia #AzamTWO
#UzinduziWaMinara #UzinduziWaDTT #AzamTV10Damdam #AzamTV10DaimaDamdam
Sasa, unachotakiwa kufanya ni kujua sifa hizi zote na kusawazisha kuwa mtindo wa maisha unaodumishwa kabisa.@Mbdoggmaster with #manwater..#combinenga
studio session
#makopinc
Nimekaaa tu hapa nawaza hili goma la @diamondplatnumz ft @koffi_olomide #WAAH lingekuwa producer wake ni #ManWater ingekuwajeee.
Najua mnaomjua @manwater mnajua na maanisha nini.
Wanaomponda @OfficialAliKiba kisa #MANWATER ni watu wanaopenda kusikia mabaya tu ya @OfficialAliKiba
Na wanaomtukana #MANWATER kisa kusema anamdai @OfficialAliKiba ni mashabiki mikurupuko.
HAWA NI WAKONGWE NA KILA MTU ANA HISTORIA NA MWENZAKE NAAMINI WAKIKAA WAWILI TU YATAISHA.

"Sina deni kwa #ManWater nimeacha kufanya nae kazi kwa sababu ni msumbufu, anafanya kazi anavyojisikia, na nilimwambia kwamba sitaki kufanya kazi na wewe. Nyimbo zilizobaki kwake, abaki nazo.β Mimi nimemsusia na Si shindwi kulipia Nyimbo" - @OfficialAliKiba
β Sina deni kwa #ManWater - nimeacha kufanya nae kazi kwa sababu ni msumbufu, anafanya kazi anavyojisikia, na nilimwambia kwamba sitaki kufanya kazi na wewe. Nyimbo zilizobaki kwake, abaki nazo.β - @OfficialAliKiba
#CloudsDigitalUpdates
@P_Majani @masterjtz @Boniluv #MikaMwamba #Enrico #QTheDon @marcochali @HermyB1 @DungaDigital @kidboytz #ManWater #Maneck Waliweza kubadilika kwenye kila ngoma walioproduce na bado nyingi zilikuwa hit. Saivi sound ya bongo fleva kama riddim hivi! Ngoma kama zote zinafanana!
#BongoFleva2017 #NyotaWaMchezo β #ProducersWakubwaWaliofanyaViziri @MarcoChali #Sitamani ya Skwizza @HermyB1 Upo Hapo / Turn Up / Hata Sielewi / Mazoea #ManWater #SeduceMe @OfficialAliKiba
Last Seen Hashtags on Sotwe
normaldayinmylife
Seen from Indonesia
TheDutchTreatClub
Seen from United States
rimjob
Seen from United States
ProAir
Seen from United Kingdom
steelindustrynews
Seen from Argentina
Ψ¨ΩΨ§_ΩΩΨ§Ψ¨_Ω’Ω Ω£Ω
Seen from United Kingdom
bimbo
Seen from Spain
incesto() filter:videos
Seen from United Kingdom
ParsiPanchayat
Seen from United States
insomnia
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers













