Top Tweets for #Manfongo
#BURUDANI kwako mdau na shabiki wa Muziki wa singeli Tanzania nani kwa upande wako ni GOAT (Msanii wako Bora/Mkali wa muda wote) kati ya #DullaMakabilla #Mejakunta #SholoMwamba pamoja na #Manfongo
✍️ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka

Wasanii @diamondplatnumz @OfficialShetta #ManFongo #Chinbees Bonge La Nyau @moni_centrozone @FidQ @Madeeseneda @JohMakini Producers Abbah Process @S2KizzyOfficial na @MesenSelekta26 msibani kwa Director Khalfan Khalmandro.
#RIPKhalfanKhalmandro
Hivi unakosaje hii?? Tunafunga Odo Ummy Cup 2023/24 na Burudani kabambe kutoka kwa #ChinoWanaMan #ManFongo na mwenye mji wake asiechuja ndani na nje ya Tanga #Gwiji - #KassimMganga. Ni leo Uwanja wa Lamore #TangaMjini
#OdoUmmyCup
"Michezo ni Furaha, Michezo ni Ajira, Michezo ni Afya.

BINADAMU by #Manfongo is out now in all digital platforms
Bonyeza Link hii :
https://t.co/gK25UsROeL

Kwenye ngoma yake hii mpya Manfongo bila shaka ameonesha ukuaji wa aina yake, wa kimashahiri na kisanaa kwa ujumla.
Kuna busara na mawaidha mengi sana utayapata ukisikiliza BINADAMU ya, kwake #Manfongo
Bonyeza Link uisikilize BINADAMU
https://t.co/gK25UsROeL

#BURUDANI SIJAWAHI KUKUTANA NA DIAMOND.
#eNewz ya #EastAfricaTV amembananisha mkali wa mziki wa singeli #Manfongo ambaye amesema hajawahi kukutana na @diamondplatnumz hata mara moja baada ya msanii huyo kusema anamkubali Manfongo kwenye mziki wa singeli.
#eNewz #DiamondPlatnumz
Mwanamuziki wa Singeli nchini Man Fongo anasema hakuna shida kwa mwanaume akiimba na kujifanya kuwa mwanamke. Unaungana naye au amefeli sana?
Usikose kuitazama show leo kuanzia saa 12:00 Jioni #EastAfricaTV
#Manfongo #BongoFleva
#TeamMlalakuwa #Dahuu akiwakilisha #LeoTena aliambatana na #manfongotz pamoja DJ wa #ManFongo uwanjani kufuatilia... https://t.co/OC6RRcFcmk
Mechi ya kwanza itapigwa leo. Ni #StimToshaVsMakuburiFc.
Wasanii ; #SholoMwamba #Manfongo na #MotoKombati (... https://t.co/wNb1IP9gHl
#SholoMwamba, #Manfongo na #MotoKombati watapamba uzinduzi wa #NdondoCup2017 leo kuanzia 9 alasiri.
#Waleteeee
#Kachumbari @KingsFMRadio
#Manfongo Mimi ni mtoto wa mtaa na nimezaliwa uswahilini Ila kwa sasa Kujichanganya na mtaa kutaua brand yangu

ROMA umeniangusha na iki kibao chako...beef na @NikkiZohan limeisha ..jiandae beef na #sholomwamba #manfongo &snura hahaha @Roma_Mkatoliki
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers














