Top Tweets for #UBINAFSI
@gabyconscious @prossoff Sahihi bablai.. Kuvaa matatizo ya mwingine kama yako ni tatizo ambalo kama watz tunafeli pakubwa, na bila kutambua hilo tatizo linatutafuna sana #ubinafsi ๐ซต
@TweveDevota Na hicho kitu ndo kinatutesa sana nchi hii #UBINAFSI
Mtu anaangalia maslahi yake tu basiii
@paw1ter @YanguNiYangu Man wakenya wangereason kama wewe tungekuwa ata na Prezzo mturu #ubinafsi haina kabila
โUkiongea Mnafiki, ukikaa kimya Mnafiki, movement hazina nguvu sababu wanaodhani wamezianzisha wana haki zaidi, kuna ubinafsi hadi kwenye matatizo?, Mtu anataka akianza kuongea wengine wanyamaze? hap ndio tunapofeli. #Ubinafsi, tukaneni mkipenda ๐๐โ โโ @JideJaydee

Ukiongea mnafiki, Ukikaa kimya mnafiki. Movement hazina nguvu sababu wanaodhani wamezianzisha wana haki zaidi. Kuna ubinafsi hadi kwenye matatizo? Mtu anataka akianza kuongea wengine wanyamaze? Hapa ndio tunapofeli. #Ubinafsi. Tukaneni mkipenda ๐๐
Waalimu wasipate chakula wakiwa shuleni sio? #Ubinafsi

@ayubu_madenge Kibinadamu, ni vigumu sana kujitenga na #Ubinafsi. Pamoja na utajiri lukuki alionao bado atakubali uteuzi huo... Usemi wa mwenye nacho ataongezwa unatimizwa๐
@AdvMatata Kiongozi wa Taiwan na maelekezo kwa polisi, wasiojulikana wanatumia kodi ya mlipa kodi kumficha mlipa kodi mahakama wao wakamataji wao. Roho mbaya. #ubinafsi
Waandishi wa habari mechi nyingi huwa wanaingia bure...leo wamesikia mashabiki watakao kaa mzunguko na wao wameruhusiwa kuingia bure, nongwa zimeanza.
#UBINAFSI
@EduTalkTz @ericomondi_ @JotiOfficial Dada kiboga hawezi kuelewa hili IQ yake ni ndogo kugh'amua mambo,wao wanadhani ni "hustle" zao ndio zimewafikisha hapo na upinzani utawaharibia madili yao wenyewe wanaita "endorsements" option pekee ni kuwa watumwa wa mfumo hata kama ni kandamizi. #ubinafsi
@ummymwalimu @nhiftz @wizara_afyatz Mnakopeshana fedha za mfuko bila utaratibu alafu mnaongea blabla? So #TOTObima ndo inafilisi mfuko na si #UFISADI wenu kwenye mfuko wa #NHIF? Acheni #ULAFI na #UBINAFSI watumikieni wananchi kwa #weledi.Mnaua #NHIF kwa sababu ya #Greedness. Mnashindana kuwa political #BILLIONAIRES
Zipo nchi nyingi sana, kwa bahati mbaya nchi yetu ni kati ya mfano hai haswaa. Na sababu kubwa waliopo madarakani hawafikirii kutatua matatizo "once and for all" tunazituliza shida ili vizazi vijavyo navyo vipambane. #Ubinafsi
A "kakistocracy" is a system where the government is run by the worst, least qualified, or most unscrupulous citizens.
Never wanted perfect, just real ! Great week ahead to everyone. I hope we all have our voters cards ready so that we can exercise our civic duty as #Kenyans on the 9th of Aug #tujitokezekupigakura #powerofchangeisinourhands #Nisisitutakomeshaufisadi #ubinafsi #ukabila #uvumi

#MAAMUZI
"Kila unachokiona leo ama kwa uzuri au ubaya wake ni matokeo ya #maamuzi yaliyofanywa wakati uliopita"
Jifunze kuamua vema kwa ajiri yako na wengine pia,acha #ubinafsi
#DailyBread #today'slesson #communityeyes #YOUTH
Waziri Lukuvi alisema hadhari tena Kanisani kuhusu Muungano โZanzibar hatuwezi kuiachia ile asilimia 99% ni Waislamu..โ Hakuwajibishwa wala Hakuna Kiongozi wa CCM hadi Leo aliyemkemeaโฆ. #Ubinafsi #Udini #Ukabila upoโฆ
#CCMniKituko

Last Seen Hashtags on Sotwe
teenageer
Seen from Australia
taboo
Seen from United Kingdom
transBrasileiras
Seen from United States
yoga
Seen from United Kingdom
momsonn
Seen from Portugal
SergioMuto
Seen from United States
TrabajoProducciรณnYPaz
Seen from United States
nolimits(*)
Seen from Australia
ุจุฑุงููุช
Seen from Saudi Arabia
nolimits video
Seen from Pakistan
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.1M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers























